Tarehe iliyowekwa: July 27th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe imepokea msaada wa pikipiki 12 kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na serikali za mitaa (TAMISEMI) kupitia mradi wa kukuza stadi za kusoma, kuandika na kuhesabu ...
Tarehe iliyowekwa: July 18th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe inatekeleza ujenzi wa mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Kidegembye wilayani Njombe ambapo hadi kukamilika kwake utagharimu zaidi ya bilioni moja.
Ujenzi wa Mrad...
Tarehe iliyowekwa: April 25th, 2018
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe imezindua chanjo kwa ajili ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi ambapo zaidi ya wasichana 1,062 wanatarajiwa kupewa chanjo wilayani hapa.
Chanjo hiyo ambayo inatol...