Tarehe iliyowekwa: July 15th, 2019
Katika kuhakikisha kuwa miradi ya maendeleo inatekelezeka kwa wakati na kuongeza mapato ya Halmashauri, Halmshauri ya wilaya ya njombe imenunua mtambo mkubwa wa kufyatua tofali.
Mtambo huo ambao un...
Tarehe iliyowekwa: July 12th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka ameipongeza halmashauri ya wilaya Njombe kupata hati safi kwa kipindi cha miaka minne mfululizo.
Ole Sendeka ametoa pongezi hizo wakati wa Kik...
Tarehe iliyowekwa: June 28th, 2019
Halmashauri ya wilaya ya Njombe imeingia mkataba wenye thamani ya zaidi milioni 800 na mkandalasi Dynotech kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Lupembe kata ya L...