Tarehe iliyowekwa: February 6th, 2019
Halmashauri ya wilaya ya Njombe imeanza ujenzi wa Hospitali katika eneo la Matembwe baada ya kupata fedha kwa ajili ya ujenzi huo.
Tayari Halmashauri imepokea kiasi cha 1,500,000 kwa...
Tarehe iliyowekwa: February 5th, 2019
Kijiji cha Itipingi kilichopo katika Halmashauri ya wilaya ya Njombe kinatekeleza mradi wa upandaji wa miti ekari 30 wenye thamani ya shilingi 22,564,117.37kupitia mpango wa kunusuru ka...
Tarehe iliyowekwa: February 4th, 2019
Kijiji cha Ikondo kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kipo umbali wa kilometa 90 kutoka makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya. Kijiji hiki kinachopatikana katika kata ya Ikondo...