Tarehe iliyowekwa: February 5th, 2019
Kijiji cha Itipingi kilichopo katika Halmashauri ya wilaya ya Njombe kinatekeleza mradi wa upandaji wa miti ekari 30 wenye thamani ya shilingi 22,564,117.37kupitia mpango wa kunusuru ka...
Tarehe iliyowekwa: February 4th, 2019
Kijiji cha Ikondo kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kipo umbali wa kilometa 90 kutoka makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya. Kijiji hiki kinachopatikana katika kata ya Ikondo...
Tarehe iliyowekwa: November 5th, 2018
Jumla ya wanafunzi 926 wanafanya mtihani wa kuhitimu kidato cha nne kwa mwaka 2018 katika Halmashauri ya wilaya ya Njombe.
Mtihani huu ambao umeanza Novemba 5 na kumalizika Novemb...