Tarehe iliyowekwa: June 20th, 2024
Viongozi mbalimbali na Wananchi wakiwa katika viwanja vya shule ya msingi Mahalule , Kata ya Ikuna wakijiandaa kuupokea Mwenge wa Uhuru kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Wanging'ombe....
Tarehe iliyowekwa: December 27th, 2023
Kupitia Taarifa ya Utekeleza wa Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe iliyovuka Mwaka wa Fedha 2022/2023 na Kutekelezwa katika mwaka wa fedha 2023, Halmashauri ilipokea kiasa cha ...
Tarehe iliyowekwa: December 27th, 2023
Muonekano wa Ujenzi wa Jengo jipya la Utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Njombe mpaka sasa umefikia asilimia 90 (90%) katika hatua ya Ukamilishaji na Ujenzi unaendelea kwa kasi na ujenzi unaendelea....