Tarehe iliyowekwa: June 28th, 2019
Halmashauri ya wilaya ya Njombe imeingia mkataba wenye thamani ya zaidi milioni 800 na mkandalasi Dynotech kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Lupembe kata ya L...
Tarehe iliyowekwa: April 30th, 2019
Baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Njombe limeipongeza Halmashauri kwa kuweza kupata hati safi katika hesabu za serikali za mwaka wa fedha 2017/2018.
Pongezi hizo zimetolewa na mwenyeki...
Tarehe iliyowekwa: February 25th, 2019
Baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Njombe limepitisha rasimu ya mpango na bajeti yenye kiasi cha Bilioni 27.4 kwa ajili ya kutekeleza shughuli mbalimbali katika mwaka wa fedha 2019/2...