Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Lupembe kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu 12(1) cha kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura za mwaka 2024,anapenda kuwatangazia wote waliobainishwa kwenye orodha kuwa wameitwa kwenye usaili wa nafasi za kazi za Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki(BVR) kwa ajili ya shughuli ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura.Usaili utafanyika kuanzia tarehe 27/12/2024 hadi 28/12/2024 kwa kuzingatia ratiba na kambi zilizotajwa kwenye tangazo.
Bofya hapa kwa maelezo zaidi:KUITWA KWENYE USAILI_BVR.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa