Tarehe iliyowekwa: April 29th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Njombe ,Mhe.Kissa Gwakisa Kasongwa akiupokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Wanging'ombe,Mhe.Claudia Kitta katika viwanja vya Kijiji cha Nyombo Kata ya Ikuna ....
Tarehe iliyowekwa: February 13th, 2023
Muonekano wa sehemu ya kiwanda kidogo cha uzalishaji na uuzaji kokoto cha MTWANGO YOUTH TEKNOLOJIA CENTRE ambacho kimewezeshwa kwa kupatiwa Mkopo wa Shilingi Milioni 20
kupitia aslimia 10 ya Mapato...
Tarehe iliyowekwa: February 13th, 2023
KITUO CHA AFYA AFYA MTWANGO KIMEJENGWA KWA MAPATO YA NDANI YA HALMASHAURI
Kituo kimehusisha : Jengo la Wagonjwa wa Nje(OPD),Jengo la Wagonjwa wa Ndani(IPD),Jengo la Baba,Mama na Mtoto(RCH),Je...