Tarehe iliyowekwa: July 12th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Christopher Ole Sendeka ameipongeza halmashauri ya wilaya Njombe kupata hati safi kwa kipindi cha miaka minne mfululizo.
Ole Sendeka ametoa pongezi hizo wakati wa Kik...
Tarehe iliyowekwa: June 28th, 2019
Halmashauri ya wilaya ya Njombe imeingia mkataba wenye thamani ya zaidi milioni 800 na mkandalasi Dynotech kwa ajili ya ujenzi wa mradi wa maji katika kijiji cha Lupembe kata ya L...
Tarehe iliyowekwa: April 30th, 2019
Baraza la madiwani la Halmashauri ya wilaya ya Njombe limeipongeza Halmashauri kwa kuweza kupata hati safi katika hesabu za serikali za mwaka wa fedha 2017/2018.
Pongezi hizo zimetolewa na mwenyeki...