Tarehe iliyowekwa: November 29th, 2017
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe imetoa mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 61 kwa vikundi vya wanawake na vijana ikiwa na lengo la kuongeza kipato na kuwainua kiuchumi.
Mikopo hiyo ambayo imet...
Tarehe iliyowekwa: November 17th, 2017
Katika kuboresha huduma za afya wilayani Njombe kituo cha afya cha Lupembe kilichopo katika Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kimeanza huduma ya upasuaji kwa wakinamama wajawazito katika Kata hiyo.
K...
Tarehe iliyowekwa: November 15th, 2017
Wadau wa vyama vya akiba na Mikopo, vyama vya kilimo na masoko kutoka Zanzibar wakiongozwa na wataalamu kutoka katika Wizara ya kazi, uwezeshaji, wazee, vijana, wanawake na watoto Zanzibar wamefanya z...