Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anawatangazia nafasi 19 za kazi za Mkataba wa muda ya Ukaguzi wa mapato magetini na anakaribisha maombi kwa watanzania wote wenye sifa na uwezo,kwa ajili ya kujaza nafasi kama ilivyo orodheshwa katika tangazo hili.Aidha mnajulishwa kuwa mwisho wa maombi haya ni tarehe 22/12/2021.
Kwa taarifa zaidi na kuliona tangazo fungua hapa:TANGAZO MAGETI0001.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa