Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anasikitika kutangaza kifo cha Bwana Shaib Masasi ambaye alikuwa Diwani wa Kata ya Matembwe kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Mjumbe wa Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango wa Halmashauri.
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa