Rejea usaili uliofanyika tarehe 16, Oktoba 2025, kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa JIMBO LA LUPEMBE anawatangazia Wasimamizi wa Vituo, Wasimamizi Wasaidizi wa Vituo na Makarani waongozaji wa vituo vya kupigia waliofaulu usaili na kuteuliwa kuhudhuria mafunzo yatakayofanyika kwa tarehe zifuatazo:-
Bofya hapa kuona tangazo:Tangazo - Mafunzo UCHAGUZI FINAL.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Kidegembye,Barabara ya Lupembe
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa