Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kupitia kibali cha Ajira mpya chenye Kumb.Na. FA.97/228/01/A/25 cha tarehe 29 Aprili,2025 chenye nafasi ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja II (4), Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (5), Dereva Daraja la II (8) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.Hivyo Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi hizo kama inavyoonekana kwenye tangazo hapo chini.Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 24/06/2025.
Bofya hapa kupakua tangazo:TANGAZO LA KAZI NJOMBE DC 20250001.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa