Muonekano wa Shule mpya ya Sekondari Ikondo ambayo inamajengo mbalimbali yakihusisha:Jengo la utawala,Madarasa nane, Maabara 3 za Biolojia, Phizikia na Chemistri
na Jengo la ICT (TEHAMA) pamoja na vyoo vya Wasichana na Wavulana. Ujenzi wa Sekondari hii unaenda kusaidia Watoto wengi ambao walikuwa wanatembea umbali wa
mrefu kufuata Shule ambapo Wananchi wa Kijiji hicho wamemshukuru Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ,Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuwaletea karibu
Shule hiyo .
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa