KITUO CHA AFYA AFYA MTWANGO KIMEJENGWA KWA MAPATO YA NDANI YA HALMASHAURI
Kituo kimehusisha : Jengo la Wagonjwa wa Nje(OPD),Jengo la Wagonjwa wa Ndani(IPD),Jengo la Baba,Mama na Mtoto(RCH),Jengo la Mionzi(X-Ray),Jengo la Maabara(Laboratory),Jengo la kuhifadhia Maiti(Mochwari) Pamoja na Jengo la Upasuaji na Kina Mama Wajawazito.
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa