Saturday 21st, December 2024
@Njombe
Uzinduzi wa Tovuti ya Halmashauri ya Wilaya ya Wilaya ya Njombe utafanyika Mnano tarehe 27.03.2017 katika Ukumbi wa Tughimbe Ulioko Mkoani Mbeya. Mgeni Rasmi atakuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mheshimiwa Amosi Gabriel Makalla.Uzinduzi huu utakwenda sambamba na uzinduzi wa Tovuti za Mikoa na Halmashauri za Mikoa ya Mbeya, Songwe na Rukwa ambapo zimetengenezwa kupitia Mpango wa Kuimarisha Mifumo ya Sekta ya Umma (PS3)
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa