Wednesday 22nd, January 2025
@HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE
Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anawataarifu wananchi wote kuwa Mkutano wa Baraza La Madiwani Ufanyika kuanzia tarehe 02-03.10.2017 katika Ukumbi wa Halmashauri. Wanainchi wote Mnakaribishwa Kuhudhuria Mkutano Huu.
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa