Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Lupembe kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu 12(10) cha kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura za mwaka 2024,anapenda kuwatangazia waliofanya usaili na kufaulu kwa nafasi za kazi za muda za Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki(BVR) kwa ajili ya shughuli ya Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura.Aidha tarehe ya kuanza kazi kwa wale wote waliochaguliwa watajulishwa kupitia kwa Watendaji wa Kata katika maeneo yao waliyoombea.
Bofya hapa kuona orodha:WALIOFAULU USAILI UBORESHAJI DAFTARI_BVR.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa