Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anawatangazia nafasi nne (4) za kazi ya muda ya kufyatua Tofali za Saruji (cement bricks) nakaribisha maombi kwa Watanzania waishio Wilaya ya Njombe wenye sifa na uwezo kwa ajili ya kujaza nafasi ya kazi kama ilivyo orodheshwa katika tangazo hili.Aidha mnajulishwa kuwa maombi haya ni kuanzia tarehe 21.02.2025 hadi 28.02.2025.
Kuona tangazo bofya hapa: TANGAZO AJIRA ZA MUDA_KUFYATUA TOFALI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa