Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anapenda kuwatangazia wasailiwa wote walioomba kazi ya MKAGUZI WA MAGETINI, kuwa usaili kwa waombaji waliokidhi vigezo utafanyika tarehe 27 JUNI, 2024 saa 1:00 Asubuhi katika Ukumbi wa Mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe,Makao Makuu ya Halmashauri yaliyopo Kidegembye,Kijiji cha Kidegembye, Kata ya Kidegembye.
Kuona orodha bofya hapa: TANGAZO MAGETINI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa