Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe,anapenda kuwatangazia watanzania wote wenye sifa,kuomba nafasi ya wazi ya Mwenyekiti wa Bodi ya Ajira Halmashauri ya Wilaya ya Njombe.Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 07/03/2022 saa 9.30
Kwa taarifa zaidi na kuliona tangazo fungua hapa:TANGAZO BODI YA AJIRA.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa