Andika barua ya maombi kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe,katika barua yako andika Idara/Kitengo ambacho utafanya Mafunzo yako kwa vitendo lakini pia muda wa mafunzo ni vizuri uka ainishwa katika barua ya maombi.
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa