Ni haki ya mwananchi kuonana na mwenyekiti wa Halmashauri kwa ajili ya kujadiliana masuala mbalimbali yanayohusu maendeleo na masuala mtambuka kwenye Halmashauri. Ili kuweza kumwona Mwenyekiti fika katika ofisi za Halmashauri zilizopo jirani na benki ya NMB barabara ya Songea siku ya Jumanne na Ijumaa kuanzia saa 3:00 asubuhi hadi saa 8:00 mchana. Siku hizi ndizo mwenyekiti anakuwepo ofisini kwake kwa ajili ya kusikiliza na kutatua changamoto mbalimbali kwaajili ya manufaa na ustawi wa Halmashauri.
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa