Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anawatangazia wananchi wote kuwa Uchaguzi wa wanafunzi kidato cha kwanza Januari 2023 umekamilika na matokeo kutangazwa.
Ili kuona majina ya wanafunzi na Shule walizopangiwa kutwa,Bweni,Vipaji,Shule teule,Shule za ufundi na Wanafunzi wenye ulemavu;
Bofya hapa kwa maelezo zaidi; WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2023........pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa