Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anapenda kuwatangazia wasailiwa wote waliiomba kazi ya DEREVA II NA KATIBU MAHSUS III,kwa waombaji waliokidhi vigezo.Usaili utafanyika tarehe 11-13/07/2022.Aidha,Usaili huo utaanzia saa 2:00 Asubuhi katika Shule ya Msingi Lunguya iliyopo Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe-MTWANGO.
Kuona Orodha bofya hapa:TANGAZO.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa