Kutokana na mabadiliko yaliyo nje ya uwezo wetu Vituo vya kufanyia mafunzo kwa Makarani,Wasimamizi wa Maudhui na TEHAMA vimebadilika kama ifuatavyo;
Kata za Mtwango,Kichiwa,Igongolo,Ninga na Ikuna kituo chao Sovi Sekondari
Kata za Matembwe,Mfriga,Ukalawa na Ikondo kituo chao Manyunyu Sekondari
Kata za Kidegembye,Lupembe na Idamba kituo chao Matembwe Social Centre
SAMAHANI KWA USUMBUFU UTAKAOJITOKEZA
Bofya hapa kwa kuona tangazo zaidi:MABADILIKO RATIBA.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa