Kwa madhumuni ya uendeshaji wa Uchaguzi mkuu na kuzingatia masharti ya kifungu cha 6(6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na.1 ya Mwaka 2024 kikisomwa pamoja na kanuni ya 10(1) ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za mwaka 2025, Mkurugenzi wa Uchaguzi anakaribisha maombi kutoka kwa wa Tanzania wenye sifa na uwezo kuomba na kujaza nafasi za Wasimamizi wa Vituo vya kupigia kura,Wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura na Makarani waongozaji wa kupiga kura .Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 11/07/2025.
Bofya hapa kupakua tangazo:TANGAZO AJIRA ZA USIMAMIZI WA UCHAGUZI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa