Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe kupitia kibali cha ajira mpya chenye Kumb.Na. FA.97/288/01/09 cha tarehe 25 Juni,2024 na kibali mbadala chenye Kumb. Na. FA. 228/613/01/D/050 cha tarehe 09 Julai,2024.Vyenye nafasi za Kumbukumbu Daraja II (2), Mwandishi Mwendesha Ofisi Daraja la II (2) na Dereva Daraja la II (1) kutoka kwa Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora.Hivyo Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anatangaza nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa watanzania wenye sifa za kujaza nafasi hizo kama inavyoonekana kwenye tangazo hapo chini.Mwisho wa kutuma maombi ni tarehe 07/08/2024.
Bofya hapa kupakua tangazo:TANGAZO LA KAZI NJOMBE DC.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa