Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anapenda kuwatangazia nafasi 1 ya kazi na anakaribisha maombi kwa Watanzania wote wenye sifa na uwezo, kwa ajili ya kujaza nafasi ya kazi kama ilivyo orodheshwa katika tangazo hili.Aidha mnajulishwa kuwa mwisho wa maombi haya ni tarehe 16/08/2023.
Kuona tangazo bofya hapa:TANGAZO LA NAFASI YA KAZI NJOMBE DC0001.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa