Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anawatangazia nafasi nne(4) za dereva daraja la II na nafasi tatu(3) za katibu mahsusi daraja III hivyo anakaribisha maombi kwa watanzania wote wenye sifa na uwezo,kwa ajili ya kujaza nafasi ya kazi kama ilivyoorodheshwa katika tangazo hili.Na mnajulishwa mwisho wa maombi haya ni tarehe 07/06/2022.
Fungua hapa kuona tangazo: TANGAZO PDF.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa