Afisa Mwandikishaji wa Jimbo la Lupembe kwa mamlaka aliyopewa chini ya kifungu 12(10)(c) cha kanuni za Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga kura za mwaka 2024,anapenda kuwataarifu kuwa tarehe 09-10/01/2025 wale wote waliofanya usaili na kufaulu kwa nafasi za kazi ya Waandishi Wasaidizi na Waendeshaji wa Vifaa vya Bayometriki (BVR) kuhudhuria mafunzo yatakayotolewa na Wakufunzi Kitarafa.
Bofya hapa kuona Tangazo zaidi: MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU WAPIGA KURA_BVR.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa