Mkuu wa Wilaya ya Njombe anapenda kuwatangazia waombaji wote wa nafasi za ajira za muda kwa Makarani,Wasimamizi wa Maudhui na TEHAMA waliokidhi vigezo kuitwa kwenye usaili.
Makarani na Wasimamizi wa Maudhui usaili utafanyika ngazi ya kata(Ofisi za Watendaji wa Kata) na Msimamizi wa TEHAMA utafanyika kwenye ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe uliopo ofisi za zamani zilizopo Njombe mjini.
Usaili utafanyika Jumatano tarehe 20/07/2022,Saa 02:00.
Kwa taarifa zaidi fungua hapa; SENSA USAILI MAKARANI NA WASIMAMIZI_compressed.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa