Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anawataarifu kuwa wafuatao wamefaulu katika usaili wa Wakaguzi wa Magetini katika usaili uliofanyika tarehe 27/06/2024.Hivyo mnatakiwa kufika ofisi ya Utumishi ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe iliyopo Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe yaliyopo Kidegembye Tarehe 05.07.2024 kwa ajili ya kujaza Mkataba na kuanza kazi (muda wa kufika kujaza mkataba ni Saa 02:00 asubuhi).
Kwa taarifa zaidi na kuliona tangazo fungua hapa:KUITWA KAZINI MAGETINI 05.07.2024.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa