Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anapenda kuwatangazia waliofaulu usaili wa nafasi za kazi ya kada ya Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II nafasi (2),Mwandishi Mwendesha Ofisi Draja la II nafasi (2) pamoja na kada ya Dereva Daraja la II nafasi (1) uliofanyika katika Shule ya Msingi Kidegembye kuanzia tarehe 03/10/2024 hadi 06/10/2024.
Kwa taarifa zaidi na kuliona tangazo fungua hapa:KUITWA KAZINI0001.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa