Wale wote waliofanya usaili tarehe 20/07/2022 kwa ajili ya nafasi za Makarani,Wasimamizi wa Maudhui na Wasimamizi wa TEHAMA mnatangaziwa kuwa waliofaulu usahili huo wanatangaziwa kuhudhuria mafunzo yatakayoanza tarehe 29 Julai,2022 siku ya Ijumaa, katika shule ya Sekondari SOVI,Kata ya Mtwango Halmashauri ya Wilaya ya Njombe Saa 1:30 Asubuhi bila kuchelewa.
Bofya hapa kuona majina;Njombe DC-Waliochaguliwa.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa