Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anawataarifu wafuatao kuwa wamefaulu katika usaili wa wakaguzi wa mapato magetini katika usaili uliofanyika tarehe 30/12/2021.Hivyo,mnatakiwa kufika Ofisi ya Utumishi ya Wilaya ya Njombe tarehe 01/01/2022 kwa ajili ya kujaza Mkataba na kuanza kazi kuanzia saa nne Asubuhi(10:00 AM).
Kwa taarifa zaidi na kuliona tangazo fungua hapa:TANGAZO KUITWA KAZINI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa