Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anatoa taarifa kuwa katika usaili wa Mtendaji wa Kijiji uliofanyika tarehe 22/12/2021 majibu ya wasailiwa yametoka.Hivyo,kwa kuwa nafasi iliyokuwa inajazwa ni moja(1) mtajwa hapo chini anatakiwa kufika Ofisi ya Utumishi ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe tarehe 10/01/2022 kuendelea na taratibu za ajira hiyo.
Kwa taarifa zaidi na kuliona tangazo fungua hapa:KUITWA KAZINI MTENDAJI III.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa