Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anapenda kuwatangazia waliofaulu usaili wa nafasi za kazi ya kada ya Katibu Mahsusi III (3) pamoja na kada ya Dereva II (4) uliofanyika katika Shule ya Msingi Lunguya iliyopo Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe- Mtwango tarehe 13/07/2022 usaili wa mahojiano.Hivyo unatakiwa kuripoti Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya Njombe ndani ya siku kumi nanne (14) tangu kutolewa kwa tangazo hili.
Kwa taarifa zaidi na kuliona tangazo fungua hapa:KUITWA KAZINI PS_DEREVA.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa