Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anapenda kuwatangazia wasailiwa wote walioomba kazi ya UKAGUZI MAGETINI kuwa,kwa waombaji waliokidhi vigezo,
Usaili utafanyika tarehe 30/12/2021 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika shule ya Msingi Lunguya Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe-MTWANGO.
Angalia orodha ya majina hapa:tangazo usaili.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa