Kwa madhumuni ya uendeshaji wa uchaguzi mkuu na kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 6 (6) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, kikisomwa pamoja na kanuni ya 11 ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Lupembe anawatangazia waombaji wafuatao kufika kwenye usaili Tarehe 16.10.2025 katika UKUMBI wa Shule ya Sekondari Mtwango kuanzia saa 3.00 Asubuhi.
Bofya hapa kuona tangazo:TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -Jimbo la Lupembe final (1).pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Kidegembye,Barabara ya Lupembe
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa