Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe anapenda kuwatangazia wasailiwa wote waliiomba kazi ya MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III na MSAIDIZI WA KUMBUKUMBU DARAJA LA II,kuwa usaili kwa waombaji waliokidhi vigezo utafanyika tarehe 15-16 Novemba, 2023 saa 2:00 Asubuhi katika Shule ya Msingi Lunguya yalipo Makao Makuu ya Halmashauri ya Wilaya ya Njombe-MTWANGO.
Kuona Orodha bofya hapa:KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.
Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe
Namba ya Simu: +255 26 2782111
Simu Kiganjani:
Barua pepe: ded@njombedc.go.tz
Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa