• Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
NJOMBE DISTRICT COUNCIL
NJOMBE DISTRICT COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Njombe

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Ujenzi
      • Maji
      • Utawala na Utumishi
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maendeleo ya Jamii
      • Mifugo na Uvuvi
      • Fedha na Biashara
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Maliasili na Ardhi
      • Afya na Ustawi wa Jamii
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Ugavi
      • Ufugaji Nyuki
    • Kata
    • Vijiji
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
    • Misitu na Upandaji Miti
    • Sekta ya Viwanda
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Biashara
    • Huduma za Maji
    • Huduma za Kilimo
    • Huduma za Ufugaji
    • Ardhi na Maliasili
    • Uwezeshaji kwa Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za kudumu
      • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Huduma za Jamii
      • Kamati ya Huduma za Uchumi
    • Ratiba ya Vikao
  • Miradi
    • Miradi Iliyokamilika
    • Miradi Iliyopendekezwa.
    • Miradi Inayoendelea
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Ripoti Mbalimbali
    • Sheria Ndogo
    • Fomu Mbalimbali
    • Mpango Mkakati
    • Mkataba wa Huduma kwa Mteja
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Maktaba ya Picha
    • Maktaba ya Video
    • Hotuba
    • Habari
    • Tukio
    • Gazeti/Jarida

Halmashauri ya wilaya yanunua mtambo wa kisasa wa kufyatua tofali

Tarehe iliyowekwa: July 15th, 2019

Katika kuhakikisha kuwa miradi ya maendeleo inatekelezeka kwa wakati na kuongeza mapato ya Halmashauri, Halmshauri ya wilaya ya njombe imenunua mtambo mkubwa wa kufyatua tofali.

Mtambo huo ambao unafungwa eneo la uwekezaji lililopo katika Halmashauri ya wilaya ya njombe unauwezo wa kufyatua tofali 3000 kwa siku zenye kipenyo cha nchi 5 na 6 pamoja na tofali za kutembelea

Uwezo wa mtambo huo utatatua changamoto ya uhaba wa tofali za udongo hasa kipindi cha masika ambapo Halmashauri ya wilaya ya Njombe mvua hunyesha kwa kiwango kikubwa.

Sambamba na kutumia mtambo huu kwa ajili ya kutekeleza miradi , Halmashauri inakusudia kuufanya kama chanzo cha mapato yatakayosaidia kutekeleza shughuli mbalimbali.

Katika kuboresha mapato Halmashauri pia imeanzisha soko la kisasa katika eneo la mtwango ambao litasaidia katika ukusanyaji wa mapato pamoja na kuwalahisishia wananchi maeneo ya kuanika mbao.


Matangazo

  • TAARIFA KWA UMMA-TANZIA February 03, 2021
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALICHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA 2021 HALMASHAURI YA WILAYA YA NJOMBE December 19, 2020
  • KUITWA KWENYE USAILI WA KUANDIKA TAREHE 28-29/12/2020 December 19, 2020
  • TANGAZO MABADILIKO ENEO LA KUFANYIA USAILI December 25, 2020
  • Tazama Zaidi

Habari Mpya

  • Bilioni 26 kutekeleza Shughuli mbalimbali Njombe mwaka 2020

    January 24, 2020
  • Wanafunzi 2173 kufanya mtihani wa kumaliza darasa la saba Halmashauri ya wilaya ya Njombe

    September 11, 2019
  • Halmashauri ya wilaya ya Njombe yatoa mshindi wa Pili Kanda Maonesho ya Nane nane

    August 08, 2019
  • Njombe wapongezwa kutekeleza miradi kwa mapato ya Ndani

    July 24, 2019
  • Tazama Zaidi

Video

Rais Magufuli Akutana na Wafanyabiashara Ikulu Kusikiliza Changamoto Zao
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Huduma za Biashara
  • Huduma za Afya
  • Jarida/Gazeti

Viunganishi Linganifu

  • President's Official Website
  • President's Office,Public Service Management and Good Governance
  • President's Office Regional Administration and Local Government
  • National Bureau of Statistics(NBS)
  • Tanzania Information Services-Maelezo
  • Government Portal

Wasomaji mbalimbali duniani

world map hits counter

Idadi ya wasomaji

writingMasterThesis

Ramani

Wasiliana Nasi

    Halmashauri ya Wilaya ya Njombe, Mtaa wa Idundilanga,Barabara ya Songea,Karibu na NMB.

    Anuani ya Posta: S.L.P 547 Njombe

    Namba ya Simu: +255 26 2782111

    Simu Kiganjani:

    Barua pepe: ded@njombedc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani ya Eneo
    • Huduma Zetu

Haki Miliki@2017 Halmashauri ya Wilaya ya Njombe. Haki zote zimehifadhiwa